Madhara Ya Kuvaa "Boxer" Au "Chupi" Kwa Wanaume

nimeipenda hiyo..ikipunga upepo ndio inapata mda wa kuzalisha manii kwasababu ili manii zizalishwe inahitaji temp 20 nyuzi.
 
nadhani kondomu zinabana zaidi ya hizo boxer ns chupi je hili unalizungumziaje mtoa mada.
 
Nyie ndo mnaowapaga mifadhaiko wageni..acheni kutega watu...nwei why huvai?? Inakughasi??

nikivaa na suruali naona kama nimevaa suruali tupu, nina mwaka wa 15 cjawah, labda iwe ipo loose kama kaptula. ukivaa sana inayobana ni tatizo
 
Namshangaa mwanaume ane vaa chupi!!!! Acheni kuvaa chupi, bora kaptura kuliko chupi... Chupi????
 
nikivaa na suruali naona kama nimevaa suruali tupu, nina mwaka wa 15 cjawah, labda iwe ipo loose kama kaptula. ukivaa sana inayobana ni tatizo

Srry mkuu..kaka au dada
 

Kwa mwanaume unashauri kuvaa pajama au pensi inayopwaya, siyo maboxer.
 
heading ya ukweli lakini content sio ukweli. .. madhara yapo lakini sio hayo ya unayoyasema mkuu.
 
We ni mmoja ya wapemba wasiotaka kuvuaa chupi au boxer kwa imani hizo hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…