Madhara ya kuwa muongo kwenye biashara

Madhara ya kuwa muongo kwenye biashara

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
825
Reaction score
1,074
Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kuuliza "Una kuku?"

Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani ikasoma Kilo 1.5.

Yule mwanamke akamtazama kuku kisha akauliza "Hakuna mwingine ambaye walau ana kilo mbili?"

Muuza bucha akamrudisha kuku kwenye friza kisha akamtoa tena na kumuweka kwenye mizani. Kwa ujanja wa hali ya juu akakandamiza mizani kwa kidole gumba na mizani ikasoma kilo 2.

"Safi sana" Alisema yule mwanamke. "Nitachukua kuku wote wawili"

Hadi sasa kichwa cha muuza nyama bado kipo ndani ya friza akitafuta kuku wa pili

SEMA KWELI siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaahahaha....Unamwambia mmoja ana order tayari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Biashara wakati mwingine si uwongo ni mbinu japo inafananishwa na uwongo.Japo uwongi utakupa short term benefits na uwazi na ukweli utakupa faida siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiajiri na uajiriwe kwenye biashara mtandaoni bure kabisa,online marketing
Click hio link chini ujisajiri bure halafu usome kwa umakini zaidi
JAA Lifestyle - Sign Up
 
Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kuuliza "Una kuku?"

Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani ikasoma Kilo 1.5.

Yule mwanamke akamtazama kuku kisha akauliza "Hakuna mwingine ambaye walau ana kilo mbili?"

Muuza bucha akamrudisha kuku kwenye friza kisha akamtoa tena na kumuweka kwenye mizani. Kwa ujanja wa hali ya juu akakandamiza mizani kwa kidole gumba na mizani ikasoma kilo 2.

"Safi sana" Alisema yule mwanamke. "Nitachukua kuku wote wawili"

Hadi sasa kichwa cha muuza nyama bado kipo ndani ya friza akitafuta kuku wa pili

SEMA KWELI siku zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah
 
Back
Top Bottom