Madhara ya kuwachapa viboko vya makalio wanafunzi wa kike

komekaone

Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
47
Reaction score
9
Wanajamvi naomba mnisaidie hili,

Je, kuna athari yoyote ya kibaiolojia inayoweza kutokea endapo mtoto wa kike atachapwa kwenye makalio yake?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…