Madhara ya kuweka KARANGA PUANI

Gilala

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
24
Reaction score
0
Naomba mwenye ujuzi na haya mambo.

Naomba kujua madhara pindi mtoto anapoingiza kitu "mf: karanga/harage nk." puan, madhara yake pia ni hatua gani kuifanya kama huduma ya kwanza(fast aid) iwapo vituo vya afya vipombali?

Asubh ya leo Mwanangu kaweka karanga puani, baada ya kuzipokea taarifa hizo ilinibidi nimwambie mama yake amkimbize ktk vituo vya afya vilivyo karibu. nikiwa njiani kuja kumtizama, nilipigiwa cm na mke wangu kuwa doct anasema kutoa hiyo karanga puani ni Tsh100,000. Naha2takiw kuchelewa lasivyo yatakuwa mengine, skutaka kuhoji nilimruhusu wakitoe japo sikuridhika na hicho kiwango.
Hazikupita hata dk10 nami nikafika nakukuta tiari kimeshatoka, zaidi nimebaki kushanga kweli dk10 laki moja imeenda?
Shida yangu naomba kujua MADHARA ikiwemo FAST AID, ili cku nyingine yasinitokee haya.

Nitashukulu..
 
DAKIKA KUMI,unaona chache ila madhara yangekuwa makubwa.what is money bwana when it comes kwa mwanao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…