Zinaisha strechmark?Si hua wanasema zinaisha zenyewe? Ngoja tusubirie majibu
Kutumia capsules kujipaka hapo ume complicate ipo enat cream (vitamin e) hii nazan itakua ni rahisi wengine hutumia bio oil (japokua stretch marks wengine zinagoma kwa kutumia hizo na wengine zinaisha kwahiyo apo 50/50)Habari wapendwa madaktari..
Nilipata stretch marks (mazimola) tumboni na mapajani kwangu mara baada ya kubeba ujauzito..
Nimeshauriwa kuwa kuna vidonge vinaitwa vitamin E capsules vya kijani nitumie kujipaka mwezi mzima ngozi itakuwa sawa!!!! Naombeni ushauri wengu haswa juu ya madhara ya hizi dawa.
NB nina ugonjwa wa mba kichwani na kwenye ngozi nimeambiwa pia ni nzuri please advice me...!
Thank you dear doctors
kuna makala flani nilisoma wanasema hua zinaisha zenyewe sasa sina hakika na hiloZinaisha strechmark?
Asante dear yna2 kama hazina madhara nitatumiaVitamin e havina madhara hata kidogo..yes tumia pia kichwani kwa mba hayawezi fanya kazi pekee labda kwenye kuikuza na kuijaza nywele..kwenye mba tumia castor oil au coconut oil(cold process) changanya na hizo vitamin e na tee tree essential oil..utajifurahia my dear