Habari waungwana...mm ni mjamzito wa miez kadhaa hv..tatizo langu ni kutafuna mchele mbichi jamn..na nimeanza hv karibun kila baada ya masaa 6 hv lazma nijisikie kuutafuna mchele..je kuna madhara yeyote juu ya hili..na km ndio nn nifanye mbadala ili niache kabisa hii tabia.???