Madhara ya Mitindo ya maisha Nowdays

Madhara ya Mitindo ya maisha Nowdays

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
359
Reaction score
629
Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha

KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
 
Msipozungumzia [emoji2380][emoji2380] hamjisikii amani kabisaa, lol.
Kazi ipoo.
 
Tusipangiane jinsi ya kuishi hunilishi hunivishi kwani vp!🤣🤣🤣

Wahafidhina mtateswa sana na hii mitoto ya 2000 bahati mbaya sana mmekubali kucheza ngoma yao
 
Back
Top Bottom