Mr Lukwaro JF-Expert Member Joined Jun 3, 2023 Posts 359 Reaction score 629 Jul 2, 2023 #1 Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa"
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 Jul 2, 2023 #2 Sijakupata binafsi japo mada nzr Mohamed Lukwaro Hamis said: Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa" Click to expand... mada nruri japo hauna nyamanyama
Sijakupata binafsi japo mada nzr Mohamed Lukwaro Hamis said: Vijana wengi wa siku hizi wanaongoza kwa kwenda na Fashion kitu ambacho kinawafanya kukwepa majukumu kutokakana na madhara ya mitindo ya maisha KUMBUKA: "Unaweza kukwepa majukumu, ila sio madhara ya majukumu unayoyakwepa" Click to expand... mada nruri japo hauna nyamanyama
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jul 2, 2023 #3 Msipozungumzia [emoji2380][emoji2380] hamjisikii amani kabisaa, lol. Kazi ipoo.
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Jul 2, 2023 #4 Tusipangiane jinsi ya kuishi hunilishi hunivishi kwani vp!🤣🤣🤣 Wahafidhina mtateswa sana na hii mitoto ya 2000 bahati mbaya sana mmekubali kucheza ngoma yao
Tusipangiane jinsi ya kuishi hunilishi hunivishi kwani vp!🤣🤣🤣 Wahafidhina mtateswa sana na hii mitoto ya 2000 bahati mbaya sana mmekubali kucheza ngoma yao