Madhara ya 'Mlango wa dharura' ni yapi?

Sijui ndugu zetu waislam wanasemaje, kwani haka katabia kwa hapa kwetu Tz kaliletwa na ndugu zetu waraabu(mwambao wa pwani) pole pole kakaanza kuenea, ila tunashukuru huku mikoani hizo ni njonzi

...naona kama umechanganya waislamu na waarabu, sawa na wanaoweza kuchanganya wazungu na wakristo, tuwe makini katika kutoa mifano yetu na kuhusisha dini za wenzetu.

kidini, tabia hii imetajwa sana tangu enzi za Nabii Lut, ingawa katika dunia ya leo wagiriki, na wa italiani pia wanasifika kwa matendo haya.

Ughaibuni, mfano uingereza; ndoa za jinsia moja nazo sasa ni ruksa, mfano;


na hii hapa;


Mwenyezi Mungu atuepushie 'dhahma' hizi, maana madhara yake kwenye jamii 'husika' ni kubwa kuliko zinavyofikirika, mfano; uaminifu katika ndoa, magonjwa ya zinaa, matatizo wakati wa kujifungua, haki za watoto, heshima katika jamii bila kujali wewe ni dini gani au jinsia gani, nk nk nk....
 
In muhimu kujua haya mambo but its is too much to be here. Huko kwa wakubwa ni muafaka zaidi.

Pili, kama unajali afya yako uwe mwanaume uwe mwanamke, usiingie wala kutoa huko respectively. Ukizoea kuingia huko achia mbali uwezo wa kupata infection (unamuinnoculate huyo abdala kichwa wazi kama hutatumia kinga) kwa anaye tumia kinga anaathirika kisaikologia na utaendelea kupataka huko tu. Kwa nini, tightness ya nyuma itakufanya uone mlango wa kawaida ni non pleasing, hivyo utakufanya uwe kicheche kwa kutafuta wanawake watakaokuplease kwa kukugawia huko au uwe shoga.

Kwa mwanamke inafanya misuli ya mlango wa nyuma ilegee na hivyo kutokufanya kazi ya kuzuia haja ipasavyo. Michubuko inaweza kuleta vidonda ambavyo kupona kwake ni kugumu sana kwa vile ni anaerobic environment, hivyo anaerobic bacteria ni rahisi sana kudevelop na ni wagumu kutibu pia. Pia mwanamke akiingiliwa huko hujenga chuki pole pole kwa anayemuingilia, mara nyingi wanaofanya hivyo wanafanya basi tu kuwaridhisha waume zao lkn wanapata maumivu makali. Ukimpenda mkeo hutaingia huko uani hata kama akikubali kukupa.
 
nilikuwa nasoma post zenu huku nimesimika haswa
enewei nimekuwa na katabia ka kuwasukuma tope madada hasa wale ambao hawajatulia na wanaendekeza tabia hii, kuna nyumba yangu ndogo haitaki kabisa kutoa nyengo yake ya mbele kila nikibisha hodi ananilazimisha niingilie jikoni, kaaaz kweli kweli. nimeanza kujirudi kwani nimegundua kuwa is not fair and of course ni kumtusi Muumba. Naamini kuacha inawezekana kama nia ikiwepo.

KULAWITI SI KUZURI HATA KIDOGO.
 

dah, ha ha aaa... pole sana kaka, anyway, angalau umekiri, na kukiri kosa ndio mwanzo wa kujisahihisha, jitahidi mzee, kidogo kidogo utaafanikiwa kuacha,... kuna mtu aliniambia 'dhambi' ya kumfanyia mwenzio kamchezo hako, mwanao au bintiyo atakuja shughulikiwa tu, nilijikunyata nikawa mdogo kama nukta!
 

kibunango weweeee hiyo tuition kali....utatuletea ugomvi na wake zetu ..kwa wale watakaotaka kujaribu.......

kuna usemi umeenea hapo jijini kuwa dada zetu siku hizi karibu wote wanacheza miguu yote...[dar mpaka moro....]...naona wengi watakuwa wanaharibiwa kwa sababu wanaume wengi wanaotaka kujaribu huu uchafu hawana subra...na kuishia kuwaumiza...sex education ni muhimu watu wajue faida na hasara ...na hata watakaochagua hilo wafanye bila kuleteana madhara.....lakini si jambo zuri kidini...hasa inapokuwa same sex....!!!
 

..hiyo ya mtenda hutendwa ..kali kweli...can you imagine binti yako unayempenda..afanyiwe hivyo kulipizia zambi ulizowafanyia mabinti wa wenzako...watu wakijua hilo wataaacha!!

...lakini kuna ukweli mwingine ukimuona mwanaume yeyote anamuingilia mwanaume mwenzake..yaani basha...!hata akiwa mjanja vipi ..lazima ujuwe kuwa naye kuna siku anakutana na WASENGE MSUMENO...hawa ni aina ya mashoga ambao ukijitusu ukalala naye ujue ukishamshughulikia ukipitiwa na usingizi kidogo tu ...lazima utamsikia anahemea mgongoni!!!...KWA HIYO UKISIKIA MTU YEYOTE ANAJITAPA KUWA YEYE NI BASHA BASI UJUE SHURTI NAYE MARA MOJA MOJA NAYE ANABASHIWA...thats why kwenye historia wale mabazazi waarab walopokuwa wakichukua watumwa kama akihitaji amjeuze msenge wake walikuwa wanafanya kitendo cha kinyama cha KUWAVUNJA ili wasije wajeuka!!!...too bad!!!
 
In. Pia mwanamke akiingiliwa huko hujenga chuki pole pole kwa anayemuingilia, mara nyingi wanaofanya hivyo wanafanya basi tu kuwaridhisha waume zao lkn wanapata maumivu makali. Ukimpenda mkeo hutaingia huko uani hata kama akikubali kukupa.

..mama naomba ujuwe wanawake wa dar salaam leo wengi wamebadilika.....unasema mwanamke ukimwingilia anajenga chuki...lakini utashangaa..kuna wanawake huwapenda sana watu wanaowaingilia...na wengine utawasikia wakisema "...fulani nampenda sana,hadi namtunuku!"

au wanawake wengine usipowaingilia huleta dharau ...dunia ya leo imebadilika sana!!!
 
The topic might is good but the contents can't realy be handled here!!!
Could we please just allow Mods to move it to the adults section??

.......tukutane kule....!
 
mlango wa nyuma nao ni ufisadi wa mwili wa binadamu.Na ni kufikia kiwango cha juu kabisa cha ufisadi
 
Philemon Mikael
Mi Nina Mfano Hapa Kwetu Kuna Mzee Amekuwa Akiwatenda Watoto Wa Shule Sana Mchezo Mchafu Amini Usiamini .....mwanae Akiwa Anasoma Mdoo Wakaa Nza Kumdongonyo Polepole...alipokuwa La Sita Alrudi Ananuka Mavi Matupu Alipoulizwa Alichojibu Ni Aibu Tupu...alidai Ilikuwa Mchezo Wa Kawaida Ameanza Zamani Ila Kakutana Na Mwarabu Pale Magomeni Akampa Ela Kila Akimwambia Basi Ataki...mwisho Akamfukuza Hata Kujifuta Asiweze Akampakiza Kwenye Tax.......
Nyie Mnaowafanya Wenzenu Kinyume Na Maumbile Jueni Ipo Siku Watawatenda Kama Si Wewe Mwenyewe Mkeo Au Mwanao........
Kazi Kwako
 
...pale mwanamke anapokuwa amelegea mbele kwasabab ya kuzaa, basi, anaweza akatumia mlango huo mchafu wa mavi...

[PG]

...wenzio wanaingiza mpaka ulimi huko, 'sluuuuurrrrrrrrrrrrrrrrp!'... haya MoD ' ukijaaliwa' ihamishe hii kwenda kwa wakubwa.
 

Uh,Shindwaa!!
 
The only effect for me, I would say, its EXTREME PLEASURE.

kana ka nsungu ameitoa hiyo, na hiyo ndo inawafanya watu wapate ukimwi kuitafuta (hata kama sio kwa huko),watafute madawa ya kulevya,wanywe pombe...du kama ndo hivyo watu hawaachi, kumbe walikatazwa toka enzi za sodoma na g.. hadi sasa. Kwa kuwa watu hawaachi madaktari wanakumbana na changamoto hiyo...haitoshi kusema watu waache tu, watumiaji wanaongezeka, wanasayansi wameshashindwa tusaidieni wanasosholojia.
 

Amen to that!!
 
alaa! ya kweli hayo! hata si utani ktk dunia hii ya kibabiloni' nadhani ni ubishi,tamaa,kujifanya ujanja na urijali sie walume na ipo tangu zamani' hivi sasa bakora apigwayo dada basi kaka naye aililia' enh! wanadiriki kuipa majina na sifa kibao wote waigombania' leo apigwa MUME bakora hali yake anayo iko chini imenepa' hakuna dharura wala imejensi ni ushenzi tu na kupotoka kwa maadili' DEY LIV FI IT & GET PROFIT BT DEY 4GET JAH CURSE WOT DEM EAT
 
This is not a habit to cheer up or praise. It is real. Real bad
 
watu yaelekea wanapenda huu mchezo sema hawajiweki wazi tu. wanauliza ili kuridhishwa kwa majibu ili wafanye! kuna threads na posts kibao na sites ambazo zimezungumzia jambo hili. acheni hizo bandugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…