Madhara ya 'Mlango wa dharura' ni yapi?

Joy mwangalie huyu na fyekeo lake....anaangusha mbuyu kwa pigo moja!
hehehehe mkuu naona unanipeperushia ndege wangu. alikuwa keshanasa tunduni ili kuwa imebakia kuchagua kisu cha kumchinjia tu...
 
hehehehe mkuu naona unanipeperushia ndege wangu. alikuwa keshanasa tunduni ili kuwa imebakia kuchagua kisu cha kumchinjia tu...

Maalimu huwa wanarudi hao...wala usimkatie tamaa yakhe!
 
Aiwa mkuu.
naona kaenda kukoleza uturi atarejea ngamani huyu pasi shaka
 
tusijari kuendelea kumkwaza Mungu wetu maana hii ni hatari sana
 
Ngoja nati ya "mk......" ilegee ndo mtajua ya kuwa hiyo si tabia nzuri
 
Waisilaaaaaaaaaaaaaa Mu Kwao Nswano Kwenu Nyie?????

Sio Waislamu wote wanapenda kutumia mlango wa dharura, hebu waombe msamaha! Wapo wakristu pia ni ambao ni wadau wazuri tu wa tigo.
 
Sio Waislamu wote wanapenda kutumia mlango wa dharura, hebu waombe msamaha! Wapo wakristu pia ni ambao ni wadau wazuri tu wa tigo.

Nyie hebu achen kugusa kwenye dini Mshenzi anaweza kutokea dini yoyote.NI vyema kaka uache wanaokula jicho wale na wewe kuuli uliza kunaonesha unatamani so usiifatalie matendo ya kishetan ili kuepuka kuwa nawe mshiriki wa matendo hayo
 
Ni virahisi sana kupata virusi,asilimia kubwa saaana kuliko mbele
 
Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…