Madhara ya mtu atoae damu

Madhara ya mtu atoae damu

Kinyasi91

New Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Nimeshiriki zoezi la uchangiaji damu salama la tarehe 10/02/2018 mkoani kilimanjaro lakini napatwa na tatizo la kuumwa na kichwa nyuma ya kisogo kwa chini je inaweza kua imesababishwa na kitendo cha kupunguza damu yangu maana ndio mara yangu ya kwanza kufanya hiki kitendo
 
huenda ikawa ni moja ya sababu, hivyo msosi maji na mbogamboga kwa wingi vinakuhusu.
Ila hali ikiendelea kapime kiasi cha damu na macho pia
 
Back
Top Bottom