N Nyamongo kwao Member Joined Jan 1, 2013 Posts 48 Reaction score 4 Jul 30, 2013 #1 Dr.wangu naomba kujua madhara ya nguo za ng'ambo a.k.a MITUMBA.
msabillah JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 4,764 Reaction score 3,192 Aug 1, 2013 #2 tuwasubiri wataalam wa makemiko na maradhi ya kuambukiza watupatie elimu, maana mimi janatu nimenunua kamodo sijui nisubili majibu kwana ndio nikavae!
tuwasubiri wataalam wa makemiko na maradhi ya kuambukiza watupatie elimu, maana mimi janatu nimenunua kamodo sijui nisubili majibu kwana ndio nikavae!
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Aug 1, 2013 #3 ngoja waje, maana ndio nguo zetu tunazovaa...