Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaaUlimkula mke wa mtu wa pwani?
Nadhani maana mm kuna kimoja kinauma sana.Kumbe vile viuvimbe ni ugonjwa?
Habari naomba kwa yoyote aliyewahi kufanyiwa upasuaji kwenye korodani anipe uzoefu wake kama kuna madhara yoyote maana kuna wanaosema kuwa ukifanya ni lazima utafanya tena. Ni kuondoa vivimbe kwenye korodani.
Kwahiyo Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu Hatapata TenaChances za jogoo kutopanda mtungi tena ni kubwa.
Hivyo wazagamue kisawasawa kwa mara ya mwisho.
Baada ya hapo sketi zote watakuwa dada zako na itakuwa mwendo wa kuwekea mkono tu nyumbani.
Kıla siku naeleza madhara ya kuacha h! Hii sasa oneni! marwarwa aliandika …utafanya tena. Akimaanisha hutafanya tena yaani dushe halitasimama. Alipoacha h ikaonekana kama alitaka kusema ugonjwa utajirudia.Pole sana.
Si kweli kwamba ukifanyiwa upasuaji kwenye korodani basi ni lazima ufanyiwe tena baadae.
Kama upasuaji wako ni kwa lengo la kuondoa uvimbe kwenye korodani hakuna ulazima wa kufanya tena kama uvimbe wote ulitolewa hakuna sababu ya kurudia tena.
Kila la kheri.
Kıla siku naeleza madhara ya kuacha h! Hii sasa oneni! marwarwa aliandika …utafanya tena. Akimaanisha hutafanya tena yaani dushe halitasimama. Alipoacha h ikaonekana kama alitaka kusema ugonjwa utajirudia.
Bandugu, Kiswahili fasaha si hiari katika mawasiliano.
Habari naomba kwa yoyote aliyewahi kufanyiwa upasuaji kwenye korodani anipe uzoefu wake kama kuna madhara yoyote maana kuna wanaosema kuwa ukifanya ni lazima utafanya tena. Ni kuondoa vivimbe kwenye korodani.