Madhara ya PID

Joined
Jul 21, 2022
Posts
10
Reaction score
11
πŸ“Œ P.I.D: Ugonjwa wa Maambukizi ya Via vya Uzazi kwa Wanawake

⚠️ Je, unajua kuwa PID inaweza kuathiri afya ya uzazi ikiwa haitatibiwa mapema?

πŸ”΄ Dalili za PID:
1️⃣ Maumivu makali chini ya tumbo
2️⃣ Uchungu wakati wa tendo la ndoa
3️⃣ Homa na uchovu
4️⃣ Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni
5️⃣ Mkojo wenye maumivu au wa harufu mbaya

⚠️ Madhara ya PID:
❌ Ugumba
❌ Mimba kutunga nje ya kizazi
❌ Maumivu sugu ya nyonga
❌ Maambukizi sugu kwenye via vya uzazi
❌ Matatizo ya mimba kama kuharibika kwa ujauzito

πŸ›‘ Afya yako ni kipaumbele! Ukiona dalili, tupigie kwa namba 255719196408

πŸ”Ž MARTINEMUSHIHEALTHCARE | WE CURE WITH CARE AND HEALTH IS WEALTH

#PIDAwareness #AfyaYaUzazi #HealthIsWealth #M
artineMushiHealthcare
 

Attachments

  • -1400461708.jpg
    130.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…