sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Ndugu zangu mmegoma kabisa kuchangia au hakuna anayeelewa madhara yake, naona mnapitia tu na kusepa...Wakuu salaam!!
Ama baada ya salaam, naomba kuuliza kwa wenye utaalamu na mambo ya afya.
Mimi napenda sana kula pipi toffee, yaani kwa siku naweza tafuna hadi vipande 40 vya pipi hizo, hadi najistukia kuwa ntakuja pata madhara.
Sasa naomba kujua hizi pipi zina in gredients gani zenye madhara, maana nazipenda sana.
Hahahah.....ngoja dr mwaka ajeNdugu zangu mmegoma kabisa kuchangia au hakuna anayeelewa madhara yake, naona mnapitia tu na kusepa...