Madhara ya pombe kiafya na kutibu

Madhara ya pombe kiafya na kutibu

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Wakuu heshima kwenu.
Kama MTU alikuwa mnywaji wa pombe wa kiwango cha kati na ameacha.je mwili wake mfano utumbo, ini,figo utakuwa umedhurika. Je apate diet ipi au ale vyakula gani sana kuondoa hizo sumu? Au kuna dawa yakutoa sumu mnijuze. Ahsante
 
Inategemea ulikuwa mlevi wa pombe gani kama ni bia zitatoka tu zenyewe fanya mazoezi sana kula vizuri kunywa maji mengi

Kama viroba gongo pingu hapo huna ujanja
 
Why viroba havitoki mkuu.
 
wakuu heshima kwenu.
Kama mtu alikuwa mnywaji wa pombe wa kiwango cha kati na ameacha.je mwili wake mfano utumbo, ini,figo utakuwa umedhurika. Je apate diet ipi au ale vyakula gani sana kuondoa hizo sumu? Au kuna dawa yakutoa sumu mnijuze. Ahsante

hivi suala la wanawake wa rombo ni kweli????
 
Wakuu heshima kwenu.
Kama MTU alikuwa mnywaji wa pombe wa kiwango cha kati na ameacha.je mwili wake mfano utumbo, ini,figo utakuwa umedhurika. Je apate diet ipi au ale vyakula gani sana kuondoa hizo sumu? Au kuna dawa yakutoa sumu mnijuze. Ahsante

Hongera kwa maamuzi mazuri... Kikubwa ale mlo kamili ila ahakikishe kuwa mboga za majani na matunda ni nyingi maana zina antioxidants ambazo zina fight free radicals mwilini hivyo kuzifanya cells kuwa na afya bora..
Alcohol inasababisha minerals and vitamins mwilini kupotea hivyo hakikisha utapata vitamin A, E and C foods kwa wingi kama mboga za majani, matunda, nuts... Pia ili kuregenerate cells kula vyakula ya protein kama samaki, lean meat, kuku mayai etc
 
Namimi nataka kuacha bia. mdau nishauri njia gani umepitia hadi kuacha?
 
Mimi nimeona nikinywa,
1. Nayumba
2. Naongea sana
Pia nimeona natamani kuchepuka. Halafu naona ni dhambi na aibu.hizi ni kwamimi ti maana wengne hawayumbi.hawaongea hovyo.hawatamano michepuko.but hizi ni kwa wote ikizidisha=nazo ni kiafya wengi hupata diabetes. Figo na INI kufeli.kansa ya koo au utumbo . Hii ni kwa spirit>bia>wine. Magonjwa huja >40+
 
Watu tunatofautiana genes, immunity/kinga, stress, status, imani nk ndo mana tukinywa huja kichwani tofauti. Mfano ukiwa stress hulewa upesi na hutenda hovyo. Au mimi ni mkuu wa idara na church ni muumini mzuri tu. Sasa kulewa kunaaibisha tu. Nimeweza kuacha miezi sita sasa na sitamani tena. Pia kunastaff mate alikunywa akasahau kuja kusimamia exams yupo kwenye wakati mgumu.hapo job anakuja kwa nadra akilewa.
 
Back
Top Bottom