athari kuu ya pombe ni kuwa inaua chembe hai (cells) za ubongo. Na kwa tabia ya cells hizo, ukishakuwa mtu mzima, zikifa hakuna zinazozaliwa. Hivyo zitakuwa zinapungua tu. Hatimaye utaanza kuonesha dalili za uchizi mf. Ukali au upole usioelezeka. Ukifikia hatua hiyo, hata ukiacha pombe, huwezi tena kurudi katika hali ya kawaida. Sasa amua mapema kunyoa au kusuka.