Elevat Kapela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2017
- 631
- 1,837
Chambua wewe basi tuone. Lol.Hii nchi bwana kila mtu ni mchambuzi wa siasa, uchumi, michezo na mapenzi! Nawe hapo umechambua.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hivi hilo ndio egemeo lako la mwisho?Mhhhh....
Hivi kweli mnafikiri samia "atawapa" katiba mpya?
Hahahaha unadhani Upinzani umejaa mbumbumbu kama CCM?Tulia mkuu kina mmawia wafurahie mama akiwakomesha mataga!
Endelea kuota, bado hamkubali kuwa SSH ndio RaisiNi mambumbumbu mno! Hilo halina ubishi.
Nmeona mnademka kweli baada ya kuambiwa mtateuliwa.
Yani mpaka Leo hujaelewa kwamba Bashiru ni Mbunge wa kuteuliwa wakati Silinde ni Naibu waziri Tena ni Mbunge wa Jimbo? We utakuwa poyoyo Sana aiseeHahahaa.... yaaniii....
Mimi siku zote nina mashaka na hawa wanaoitwa wapinzani. Hawaelewi nini wanachotaka.
Nani hajakubali sasa?Hahahaha unadhani Upinzani umejaa mbumbumbu kama CCM?
Endelea kuota, bado hamkubali kuwa SSH ndio Raisi
Hahahahaa lool.... hahaaaaNani hajakubali sasa?
Sisi ccm tunajua chama chetu ndio kipo madarakani na rais wetu ni Samia.
Ila kikubwa kilichoongezeka sasa hivi ni kwamba tumepata uungwaji mkono toka kwa vyama vyote hasa chadema.
Bila shaka 2025 tutampigia kura mgombea wa ccm kwa nguvu zote ili mataga waendelee kukomolewa!
[emoji23][emoji23]
Hakuna pahali katika hotuma ya rais amesema kuwa ataanzisha serikali ya mseto, labda mwenzetu kama hujui maana ya neno "Serukali ya Mseto"Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.
Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.
Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.
Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.
Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".
Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.
Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
HayaHakuna pahali katika hotuma ya rais amesema kuwa ataanzisha serikali ya mseto, labda mwenzetu kama hujui maana ya neno "Serukali ya Mseto"
Hii ndio kauli ya Rais
"Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania"
Wapinzani mukipewa nafasi ipokeeni kwa mikono miwili.Nimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.
Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.
Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.
Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.
Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".
Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.
Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Tulia mkuu kina mmawia wafurahie mama akiwakomesha mataga!
Kuna wapinzani na viatu Seif,(Rip) kipindi kile alikua makam wa pili Zanzibar but alichofanyia ccm 2015 mpaka uchaguzi kufutwa na Jecha hakikua Cha dunia hii, so MKUU watanzania sio wajinga mnakula sahani moja but bado maslai ya chama yanabaki pale japo sio vyama vyote wapo viongozi wa namna iyo Kati ya vyama 13 utaipata kimojaNimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.
Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.
Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.
Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.
Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".
Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.
Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Hivi haya maneno wewe umeyatoa wapi? Kama ni kwa mama SSH hakusema hivyo. SSH kasema atateuwa watanzania wenye weledi bila kujali itikadi zao kwenye seriakali yake. Hili limeshafanyika ni muendelezo. SSH kasema mara nyingi yeye ni muendelezo wa JPM. JPM alimteua Prof. Mkumbo, Mtatiro, Machali, Kafulila nk na kuwaweka serikaliniNimeona wapinzani wetu wanamshangilia Rais Samia kuwaalika waingie Serikalini.
Bila shaka, mama atawateua wale wapinzani wenye majina makubwa kwa malengo fulani ya kisiasa, pamoja na kuunda umoja wa kitaifa kama anavyodai.
Wasiwasi wangu ni kuwa, hawa wapinzani sijui kama wanajielewa.
Sijui kama wanaelewa madhara ya mfupa wanaotupiwa wautafune.
Wale wawindaji wanafahamu jinsi ya kumpoteza fisi anayekukimbiza. Unamtupia fupa ahangaike nalo wakati wewe unatokomea.
Wapinzani watakapojiloga kupokea hizo nafasi, kwanza watakuwa wameua vyama vyao kwa sababu hawawezi kufanya tena siasa za kipinzani wakiwa serikalini.
Pili, mama samia atakuwa amefanikiwa vizuri kutumia kanuni ya "divide and rule".
Wapinzani na wafuasi wao wataparaganyika huku na kule na hawatakua wanaelewa waunge mkono juhudi za serikali ya mseto ama waendeleza siasa zao za kipinzani.
Mama atakuwa amefanikiwa kuiua demokrasia kwa njia tulivu na ya kisayansi, tofauti na mtangulizi wake aliyewashugulikia wapinzani waziwazi.
Kwa maneno hayo ni dhahiri huko nyuma watu walikuwa wakiteuliwa/ajiriwa kwa kufuata itikadi zao na wale waliounga mkono juhudi. Sasa rais wetu wa sasa anataka kuachana na msimamo huo, na si kuunda serikali ya mseto. Maendeleo hayana vyama.Hakuna pahali katika hotuma ya rais amesema kuwa ataanzisha serikali ya mseto, labda mwenzetu kama hujui maana ya neno "Serukali ya Mseto"