Kuna madhara gani yanayoweza kumpata mtu anapoingia mapema kwenye chumba ambacho kilifanyiwa fogging au fumigation? je madhara yakoje kwa mwanamke mjamzito? kuna namana yoyote ya kuthibitisha hewa ya sumu haina madhara kwa binadamu kuvuta hewa baada ya zoezi hilo.