Mawasilianao ni kitendo Cha kupashana habari baina ya mtu mmoja na mtu mwingine au baina ya mtu mmoja na kundi la watu. Kuna njia nyingi za mawasiliana kama vile kupigiana simu,kutumia a meseji,kuandikisha barua nk.
Ukosefu wa mtandao unaweza kuwa na madhara makubwa kwa watu binafsi, biashara, taasisi za umma, na jamii kwa ujumla. Hapa chini haya ni baadhi ya chanzo, madhara na suluhisho la ukosefu wa mtandao.
Chanzo Cha Ukosefu wa mtandao Tanzania
Ukosefu wa mtandao unaweza kusababishwa na mambo kadhaa wakadha, ikiwa ni pamoja na:
Adhari za Ukosefu wa Mtandao.
Kupunguza Kwa huduma za Kijamii.
Kutokana na maendeoeo ya sayansi na teknolojia baadhi ya huduma za muhimu kama vile afya na huduma za kifedha zinaweza kuwa vigumu kupatikana. Kwani money transaction na operation nyingi siku hizi zinahusisha technolojia ya mtandao.
Suluhisho za Ukosefu wa Mtandao
Ukosefu wa mtandao unaweza kuwa na madhara makubwa kwa watu binafsi, biashara, taasisi za umma, na jamii kwa ujumla. Hapa chini haya ni baadhi ya chanzo, madhara na suluhisho la ukosefu wa mtandao.
Chanzo Cha Ukosefu wa mtandao Tanzania
Ukosefu wa mtandao unaweza kusababishwa na mambo kadhaa wakadha, ikiwa ni pamoja na:
Miundombinu duni au uharibifu wa miundombinu kama kuharibika kwa nyaya za mawasiliano zinaweza kusababisha ukosefu wa mtandao. Rejea kukatika Kwa internet wiki mbili zilizopita.Matatizo ya miundombinu
Kukatika kwa umeme kunaweza kusababisha vifaa vya mitandao kushindwa kufanya kazi kwa usahihi, hivyo kusababisha ukosefu wa mtandao.Kukatika kwa umeme
Dhoruba, mvua kubwa au hali nyingine ya hewa inaweza kuharibu miundombinu ya mawasiliano na hivyo kusababisha ukosefu wa mtandao. Kwa mfano Barabara inayounganisha kusini na dar es salaam ilikatika na kumpelekea adhabkubwa sana Kwa wasafiri Hali iliyopelekea watu kuzunguka Barabara ya morogoro,Iringa,Njombe,Ruvuma,Tunduru halafu masasi Kwa nauli ya tsh 120,000/= wakati nauli ya masasi dar ni elfu arobaini!Mabadiliko ya hali ya hewa.
Vifaa vya mtandao kama vile router au modem vinaweza kupata hitilafu au matatizo ya programu, na hivyo kusababisha ukosefu wa mtandao.Hitilafu za programu na vifaa
Baadhi ya maeneo au jamii zinaweza kukosa ufikiaji wa mtandao kutokana na sababu za kijamii au kiuchumi, kama vile upatikanaji duni wa miundombinu au gharama kubwa ya huduma za mtandao. Mfano mwaka 2013 niliongea na watu wa Voda kupeleka network ya Voda katika Kijiji cha uliwa lakini nilipoenda kuwashirikisha wanakijiji walikataa Kwa misingi kuwa nitapeleka majambazi! Hadi ninapoandika andiko hili Kijiji cha uliwa hakina mtandao wakupiga simu.Kijamii na kiuchumi.
Kuna maeneo ambayo teknolojia ya mawasiliano imepitwa na wakati au hakuna miundombinu bora ya kusambaza mtandao wa kisasa, hivyo kusababisha ukosefu wa mtandao.Ukosefu wa miundombinu boravya mawasilianao.
Adhari za Ukosefu wa Mtandao.
Watu wanaweza kukosa njia za mawasiliano kama simu za mkononi, barua pepe, mitandao ya kijamii, na programu za ujumbe.Upotevu wa Mawasiliano.
Watu wanaweza kukosa upatikanaji wa taarifa muhimu kama vile habari za kiafya, elimu, na taarifa za kibiashara. Pia watu wanashindwa kufika katika eneo husika Kwa wakati!Ungumu wa Upatikanaji wa Taarifa
Rejea kilichotokea wiki mbili kwa kukatika kwa barabara ya mtwara somanga. Biashara nyingi zilisimama Kwani bidhaa nyingi za kutoka dar kwenda mtwara zilisimama na bidhaa nyingi zakutoka mtwara kwenda dar zilisimama pia Kwa kukatika kwa barabara Kwani kulipelekea wafanya biashara kushinda kusafirisha bidhaa Kwa walaji.Kukwama kwa Shughuli za Kibiashara
Kupunguza Kwa huduma za Kijamii.
Kutokana na maendeoeo ya sayansi na teknolojia baadhi ya huduma za muhimu kama vile afya na huduma za kifedha zinaweza kuwa vigumu kupatikana. Kwani money transaction na operation nyingi siku hizi zinahusisha technolojia ya mtandao.
Suluhisho za Ukosefu wa Mtandao
Serikali na mashirika ya simu yajenga miundombinu bora ya mtandao katika maeneo ambayo hayana huduma ya mtandao au ambayo huduma ni duni.Kujenga miundombinu Bora ya Mtandao
Kutoa mafunzo kwa watu ili waweze kuelewa umhimu wa mawasilianao na kutumia teknolojia za mtandao kikamilifu na kwa usalama.Elimu itolewe juu ya umhimu wa mawasilianao.
Serikali haina budi kualika makampuni makubwa kuja kuwekeza katika sekta ya miundombinu na mawasilianao Ili kupunguza au kuondoa tatizo la mtandao.Kuingia mikataba na makamuni makubwa ya kutoa huduma kama vile starlink.
Upvote
0