JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
- Vidonda na mikwaruzo kwenye utumbo
- Kupata Minyoo
- Kuhisi kushiba muda wote, hivyo husababisha mwili kukosa virutubisho
- Kukosa haja kubwa au kupata haja kubwa ngumu, inaweza kupelekea kupata bawasiri
- Kupata kidole tumbo 'appendix'
- Kuna uwezekano wa kula sumu kwenye udongo
Upvote
0