J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Apr 24, 2021 #1 - Vidonda na mikwaruzo kwenye utumbo - Kupata Minyoo - Kuhisi kushiba muda wote, hivyo husababisha mwili kukosa virutubisho - Kukosa haja kubwa au kupata haja kubwa ngumu, inaweza kupelekea kupata bawasiri - Kupata kidole tumbo 'appendix' - Kuna uwezekano wa kula sumu kwenye udongo Upvote 0
- Vidonda na mikwaruzo kwenye utumbo - Kupata Minyoo - Kuhisi kushiba muda wote, hivyo husababisha mwili kukosa virutubisho - Kukosa haja kubwa au kupata haja kubwa ngumu, inaweza kupelekea kupata bawasiri - Kupata kidole tumbo 'appendix' - Kuna uwezekano wa kula sumu kwenye udongo