Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
Siku zinavyokwenda,mabinti wanaongeza kasi ya kutoa mimba kwa visingizio mbalimbali!
Mwenye detailed maelezo juu ya madhara ya hii kitu aweke hapa.
unataka kutoa mimba??
Inaweza kusababisha:
1. Ugumba
2. Kama mwanamke huyo hajasafishwa vizuri anaweza kupata infections kwenye kizazi na hatimae kizazi kutolewa
3.Kupoteza damu nyingi hatimae kifo
4.Vifaa vinavyotumika kwenye hiyo process visipokuwa safi then anaweza kupata infections kwenye kizazi
Mengine watasaidia wanaJF wengine.....au ungekwenda kwenye jukwaa la JF doctors ungepata ambazo zipo well detailed.
Unaumwa ugonjwa unao julikana kitaalam kama "UPAKI";yaani,"UPUNGUFU wa AKILI Kichwani".Hii inapelekea utumie dudu kufikiri!..kumbe unajua kusoma na kuandika vizuri tu?..sasa kuna kitu umekosa nacho ni elimu ya VITENDO,ko nakushauri peleka huyo binti ulomjaza tumbo akatolewe huyo kiumbe then sikilizia akiwa POA basi hakuna MADHARA,bt mambo yakiharibika utatupa kila kitu kilivyotokea mpaka mpenzio alipofikwa na MAUTI..bt kuna kitu nakiona hapa huyo binti hana mawazo ya kutoa mimba ko jitahidini huyo kiumbe akue vyema tumboni mwa ***** kwani ndo RAHA YA DUDU HIYO..
Mimba iliyokuleta wewe ingetolewa usingekuwa hapo ulipo sasa hivi..... waonee huruma hao binadamu wanaokufa bila hatia.kama mimba inaleta shobo unaitoa tu...... hakunaga kujivunga.
Mimba iliyokuleta wewe ingetolewa usingekuwa hapo ulipo sasa hivi..... waonee huruma hao binadamu wanaokufa bila hatia.
Siku zinavyokwenda,mabinti wanaongeza kasi ya kutoa mimba kwa visingizio mbalimbali!
Mwenye detailed maelezo juu ya madhara ya hii kitu aweke hapa.
kama mimba inaleta shobo unaitoa tu...... hakunaga kujivunga.