Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
- Thread starter
-
- #21
Hakuna madhara yoyote.
Siku zinavyokwenda,mabinti wanaongeza kasi ya kutoa mimba kwa visingizio mbalimbali!
Mwenye detailed maelezo juu ya madhara ya hii kitu aweke hapa.
nahisi kama ushampa mimba binti wa watu sasa unahofu ya kumpeleka kuitoa.
Sasa ni hivi: madhala ya kwanza ni kua ukitoa unajihakikishia kwenda jehanamu.lakin pia binti aweza kufa au asipate tena ujauzito.
Pima ufanye maamuzi!
If ua A negative, hutajifungua tena, mimba zitakua zinatoka tu, bora kujua grup lako la dam b4 atemptin anythng stupid.