Madhara ya uvutaji bangi, pombe na madawa ya kulevya huwezaje kumuathiri mtoto wakati wa utungaji wa mimba na baada ya kuzaliwa?

Madhara ya uvutaji bangi, pombe na madawa ya kulevya huwezaje kumuathiri mtoto wakati wa utungaji wa mimba na baada ya kuzaliwa?

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Habari wanajf?

Naomba kwa wenye uelewa wanisaidie kufahamu madhara ya matumizi ya bangi, pombe na madawa mengine ya kulevya; kutoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto?

Inawezekana mtoto akapata athari za vitu hivyo wakati wa utungaji wa mimba na/au baada ya kuzaliwa?
 
Back
Top Bottom