Habari wanajf?
Naomba kwa wenye uelewa wanisaidie kufahamu madhara ya matumizi ya bangi, pombe na madawa mengine ya kulevya; kutoka kwa mzazi kwenda kwa mtoto?
Inawezekana mtoto akapata athari za vitu hivyo wakati wa utungaji wa mimba na/au baada ya kuzaliwa?