Madhara ya Viagra


acha siasa, lowasa karudisha fomu leo mfate!
 
Siasa imeingiaje kwenye post ya viagra? Kuna watu siasa imewakalia kooni mpaka basi.
 
acha siasa, lowasa karudisha fomu leo mfate!


Sasa ndiyo ujue kweli hakuna shule. Huwezi kujenga hoja yoyote ama kuboresha na hata kuelewa kitu chochote kiwe cha ki siasa, kitekinolojia, kijamii, kimazingira, ama kisheria kama hujui mawasiliano.

Mawasiliano yawe ya aina yoyote ndiyo msingi wa maendeleo ya mtu binafsi hadi dunia.
 
Siasa imeingiaje kwenye post ya viagra? Kuna watu siasa imewakalia kooni mpaka basi.

Elimu siyo suala la kisiasa. Elimu ni muhimu katika kila jambo. Bila elimu sahihi huwezi kufanikisha lolote katika ngazi yako binafsi hadi ya kimataifa bila kujali ni jambo la kiuchumi, kisiasa, kijamii, tekinolojia, kimazingira, kiimani hata kisheria.

Sasa wewe unaweza kutoa jibu kwa swali lake? Unaweza kusema alitaka kusema nini kwa "what are effect of viagra to man!!"

Na sasa kwa mambo kama haya, anakuwa haeleweki na hivyo kuna uwezekano wa kukosa jibu sahihi ama kukosa jibu kabisa kitu ambacho kinarudisha nyumba kila hatua sahihi aliyostahili kuichukua juu ya jambo hili.

Ccm imeua taifa!.
 
Viagra inapunguza umri wa kuishi isitoshe it's a sin
 
Haya endelea kubwabwaja ndugu.Bila shaka ccm wamekusikia na bila shaka watakoma kuua taifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…