madhara ya viungo vya uzazi

madhara ya viungo vya uzazi

Samuel Mahimbo

New Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
2
Reaction score
0
hiv nini chanzo au sababu ya manii kutoka yenyewe bila kufanya tendo?:A S-confused1::A S-confused1:
 
Hiyo inatokana na kukosa papuchi kwa muda mrefu na kula ugali wa dona. Tafuta papuchi za kutosha utapona tu hilo tatizo mkuu.
 
ina uhusiano na magonjwa ya zinaa,umeshawahi kuumwa hapo kabla?
 
Back
Top Bottom