S Samuel Mahimbo New Member Joined Mar 26, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Oct 3, 2013 #1 hiv nini chanzo au sababu ya manii kutoka yenyewe bila kufanya tendo?:A S-confused1::A S-confused1:
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Oct 3, 2013 #2 yanatoka wakati gani?
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Oct 3, 2013 #3 Hiyo inatokana na kukosa papuchi kwa muda mrefu na kula ugali wa dona. Tafuta papuchi za kutosha utapona tu hilo tatizo mkuu.
Hiyo inatokana na kukosa papuchi kwa muda mrefu na kula ugali wa dona. Tafuta papuchi za kutosha utapona tu hilo tatizo mkuu.
chelsea fc JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 864 Reaction score 212 Oct 3, 2013 #4 ina uhusiano na magonjwa ya zinaa,umeshawahi kuumwa hapo kabla?