G GlorytoGod Senior Member Joined Sep 8, 2012 Posts 158 Reaction score 50 Oct 16, 2012 #1 Wanajamvi heshima kwenu, naombeni kuuliza kuna madhara yoyote yatokanayo na kupima afya kwa kutumia computer inayoonyesha magonjwa yote mtu aliyonayo mwilini mwake? Nisaidieni wandugu,
Wanajamvi heshima kwenu, naombeni kuuliza kuna madhara yoyote yatokanayo na kupima afya kwa kutumia computer inayoonyesha magonjwa yote mtu aliyonayo mwilini mwake? Nisaidieni wandugu,