daaah! Umenikumbusha pale Ilala kwa 'Said Makuku' (sijui bado yupo)Kiepe for life, nmetoka kwa mpemba kujitia kikiepe kuku recently, usipime bobu..mixa ukwaju mixa pilipili..Happy besdei to mie!
ONYO: KULA. KIEPE KISTAARABU, UKIFANYA MASIHARA UTAGONGEWA OHOOO!!!
Mkuu kabla ya hivyo vyakula vyote ulivyo vitaja kuletwa ,Africa ilikua hamna chakula chake cha asili ,hao watu walikua wanakula nini ?Zama zinabadilika kila uchao...
Zamani wazee wetu walikuwa wanakula mtama umechanganywa na ulezi, hio ikapita.
Wakaja wakoloni wakaleta muhogo toka Amerika ya Kusini, mtama na ulezi vikapunguza umaarufu, wazee wetu waliwashangaa sana watu wa kizazi chao kwa kukumbatia muhogo na kuacha mtama na ulezi wakasahau kuwa hata wao waliacha kula mizizi na matunda wakakumbatia mtama na ulezi.
Baadaye yakaingia mahindi kutokea huko huko kwa mkoloni, watu wakaacha muhogo wakachangamkia mahindi, wazee wa wakati huo wakawashangaa sana kwa nini kuacha muhogo kukumbatia mahindi "vyakula vya watu weupe visivyo na faida mwilini"??.
Baadaye ukaingia mchele, wazee wanaokula mahindi wanawashangaa sana wanaoukumbatia mchele kwa kuwa ni "chakula cha kuja".
Sasa ulaji wa chipsi unaingia kwa kasi kama vile ambavyo vingine viliingia kwa kasi na watu wakashangaa pia kwa nini watu kukumbatia "mavyakula ya wazungu".
Ni zama tu zinabadilika mkuu, baadaye tutaingia kwenye ngano na mavyakula ya makopo na watu watapuzia chipsi pia.
Madaktari wamejikita kueleza madhara ya chipsi badala ya kutueleza na faida zake pia, haya ni madhaifu makubwa sana katika kuleta judgement ya kitu, huwezi kusikia one sided story peke yake.
Zama mpya zinakuja, za zamani zinapotea, lakini all in al hakuja jipya chini ya jua.
Vijana kuleni kiepe yai, kwa kuwa hizi ni zama zenu.
Waafrika walikuwa wana mizizi na matunda na nyama mbichi mkuu.Mkuu kabla ya hivyo vyakula vyote ulivyo vitaja kuletwa ,Africa ilikua hamna chakula chake cha asili ,hao watu walikua wanakula nini ?
Duu asante Mkuu nitalifuatilia hili swala sijawahi kujua kwamba chakula chetu cha asili ilikua mizizi ,matunda na nyama mbichiWaafrika walikuwa wana mizizi na matunda na nyama mbichi mkuu.
Hio ndio asili yao.
Mpaka sasa zipo jamii kama sita hivi ninazozifahamu zilizokataa kuuchukua uzungu na zinaendelea kula matunda na mizizi na nyama mbichi.
Nyingi ya jamii hizi zinapatikana mikoa ya Dodoma, Singida ,Arusha na Mara.
Nadhani atakua huyu mpemba ninaemfahamuKiepe for life, nmetoka kwa mpemba kujitia kikiepe kuku recently, usipime bobu..mixa ukwaju mixa pilipili..Happy besdei to mie!
ONYO: KULA. KIEPE KISTAARABU, UKIFANYA MASIHARA UTAGONGEWA OHOOO!!!
Lakini viazi ni mizizi.Waafrika walikuwa wana mizizi na matunda na nyama mbichi mkuu.
Hio ndio asili yao.
Mpaka sasa zipo jamii kama sita hivi ninazozifahamu zilizokataa kuuchukua uzungu na zinaendelea kula matunda na mizizi na nyama mbichi.
Nyingi ya jamii hizi zinapatikana mikoa ya Dodoma, Singida ,Arusha na Mara.