Elections 2010 Madhehebu yaungana na Kakobe kusali Jumamosi: Ni PCT, TEC na CCT


Mkuu hili gazeti ni la Tanzania? Linatoka lini na wapi?
 
Umejiunga leo! umekuja na post hii! umetumwa nini na kakobe..?!


kama umekosa cha kusema kaa kimya maana naona hujitambui,mtu katoa topic if u don feel like saying something wise better be quet,anyway sio kosa lako may be una matatizo
 

Mkuki kwa guruwe kwa binadamu noma enhhh....

Hivi mnawaafanyaje wengine wanaokuja na ambayo hamyataki ama ahayendani na maslahi yenu???
 
Hatujawahi kuwa na kiongozi kimeo kama awamu ya nne. Jamani twendeni October31 tukaajiri mtu mwingine.
 
Elewa siyo habari yake hata source amekuwekea labda una jingine.
watu wanavisa kweli humu ndani nilidhani woote tungefurahia kwa hilo, kumbe wengine mnaona kama ni anguko lenu mnatamani hata watu wasiende kupiga kura kama mlivyofanya kwa wanafunzi wa chuo????
 
Habari hii si njema kwa mafisadi and co. maana siku hiyo itakuwa kutimiza kazi moja tu kuliondoa nduli CCM.
 
watu wanavisa kweli humu ndani nilidhani woote tungefurahia kwa hilo, kumbe wengine mnaona kama ni anguko lenu mnatamani hata watu wasiende kupiga kura kama mlivyofanya kwa wanafunzi wa chuo????
We nawe mbona hata hueleweki karibu uungane na mkombozi.
 
hongereni. lkn navyojua mimi hakuna binaadamu anaweza kubadilisha siku ya ibada hasa jambo kubwa kama hilo la sala. lkn kama wameamua. nadhani sio tatizo. niwajuavyo wakiristo wengi sana ni ccm. tangu enzi enzi, mwaka 95 hadi 005
Hata mimi nilikuwa CCM kama wewe.
 
kule kwa gwajima, siku ya jumamosi wanalala hapohapo wakikesha nakuombea taifa, siku ya jumapili wanaamkia kanisani asubuhi halafu wote kabla hawajaenda kulala kwasababu ya usingizi wa mkesha, wanapitia kupiga kura kwanza kabla ya yote. nilikuwepo pale jumapili hii iliyopita, na tulishatangaziwa kuwa hatutakuwa na ibada siku ya kupiga kura, badala yake jumamosi tutafanya ibada kama kawaida na jumapili tunaamkia kupiga kura hadi kieleweke. ngoma inogile kwa kweli..
 
maadamu wanachuo zaidi ya 60,000 watakosa uchaguzi mkuu, ni dhambi kwa wakristo pia kukosa kwani ni mchakato muhimu kwa kila mtanzania bila kujali dini; ila ungefanyika jmosi nina uhakika ingekuwa balaa kwa wasabato.
 
Gazeti hili linatoka Jumapili hapa DAR nilibahatika kulisoma na ilikuwa mara ya pili tu kusoma linaonekana ni la Wakristu.
 
kwani vile wakiristo watz washama ccm? sijui labda 2090
mbona nyie watu ccm hamueleweki, mnakimbia vivuli vyenu wenyewe! Nec iliyoundwa na JK wenu imeandikisha watu ili wapige kura, some religious organisation zinaitikia wito wa selikari ya ccm ya watu kupiga kura kwa kuondoa kitu ambacho kingekuwa kisingizio mnaanza kuingiza hoja za udini. Hivi kweli mnachukua hata sekunde kufikiri kabla ya kutoa comments zenu au mnafanya makusudi?
 
Duh! Bwana mkubwa kazi anayo bora angesikiliza wadau walikua wanamwambia nini.
 
Nasikia mchungaji Gwajima naye katangazia washirika wake kuwa ibada ya 31 Oct itafanyika jmosi. Naona CCM wameshikwa pabaya. Walidhani uchaguzi ukiwa jumapili basi wakristo wengi (hasa wa mijini) watashindwa kupiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…