kule kwa gwajima, siku ya jumamosi wanalala hapohapo wakikesha nakuombea taifa, siku ya jumapili wanaamkia kanisani asubuhi halafu wote kabla hawajaenda kulala kwasababu ya usingizi wa mkesha, wanapitia kupiga kura kwanza kabla ya yote. nilikuwepo pale jumapili hii iliyopita, na tulishatangaziwa kuwa hatutakuwa na ibada siku ya kupiga kura, badala yake jumamosi tutafanya ibada kama kawaida na jumapili tunaamkia kupiga kura hadi kieleweke. ngoma inogile kwa kweli..
Umejiunga leo! umekuja na post hii! umetumwa nini na kakobe..?!
Vipi vatican wenyewe wanasemaje?
Nasikia mchungaji Gwajima naye katangazia washirika wake kuwa ibada ya 31 Oct itafanyika jmosi. Naona CCM wameshikwa pabaya. Walidhani uchaguzi ukiwa jumapili basi wakristo wengi (hasa wa mijini) watashindwa kupiga kura?