Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
''MADHULUMU MOYO'' KHADIJA BARAMIA KATIKA KITABU "BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE"
Katika mahojiano na Mohamed Ghassany kuhusu kitabu cha Ibrahim Hussein, ''Baraza ya Majestic na Machinjioni Kwa Bamkwe,'' Mohamed Ghassany aliniomba nisome kipande katika shairi lililoko ndani ya kitabu kutoka nyimbo, ''Madhulumu Moyo,'' iliyoimbwa na marehemu Khadija Baramia akiomboleza na kumkumbuka mumewe Musa Abdallah Ali (Meki) aliyeuawa Kwa Bamkwe.
Wengi wametaka kuisikia nyimbo hii: