Madhumuni ya sex

Madhumuni ya sex ni haya:
1.Kuburudisha mke na mume
2.Kuzaa watoto
Nje ya hapo ni uovu na uasi kwa Mungu
Najaribu kuitafakari hoja hii na ile kazi iliyomshinda RC wa Dasilama sipati picha.
Halafu huko maofisini - usipime. Mbona hakuna mume na mke huko lakini kazi inaendelea mdundo??
Halafu tena inakuwaje ni uovu na uasi ilhali watoto wanalipiwa ada, kodi ya chumba inapatikana na maisha yanaendelea?? Cjui kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…