Madikteta wote duniani hufanana


5. Sizonje
 
Paul Kagame wa Rwanda ni dikiteta
Pierre Nkurunziza wa Burundi ni dikiteta
Joseph Kabila wa Jamuhuri ya Muungano ya Congo ni dikiteta
Endelea kuorodhesha ili wajulikane tuwaombee ili wafe kidikteta.
 
Enzi hizo Bashite Mwanakijiji akiwa na akili zake timamu za utambuzi...sasa mguse, ataruka mita 1000 kuyakana haya maneno yake!
 


Kama ni utabiri basi huu umetimia
 
Tatizo ninyi mlibadili gia hewani mkasaliti mabadiliko ya kweli aliyoyapigania, mkanunuliwa na fisadi!
Badluck...,

Mabadiliko ya kweli huletwa na Sera bora za Chama cha Siasa au huletwa na mtu mmoja ndani ya chama cha siasa..?

Wananchi wanapigia kura mtu handsome au wanatakiwa wapigie kura Sera za Elimu, Uchumi zinazowavutia ktk kuleta maendeleo...?!

Hivi..., Lowassa kujiunga na UKAWA, ilibadilisha sera za CDM kuwa za CCM...?!

Hebu fikiri tena sawasawa...., kwa hiyo unataka kusema kuwa baada ya akina Mtulia kujiunga CCM, sasa utahama huko uje CUF...?!

Nyie ndio mnaotucheleweshea Mabadiliko nchi hii..., na sasa mmetuingiza kwenye UDIKTETA kwa upumbavu wenu...
 
Sifa yao ingine ni kwamba huhakikisha watu wote wenye uwezo hawapati nafasi katika fursa za uongozi wowote wala kupata kazi ya maana. Wakishindwa kabisa kuwakwamisha, huwafunga na/au kuwaua!
Mkuuu kumbe upo......eeehhh....
 
Umenikumbusga kishika uchumba cha makinikia
 
Nimekuelewa sana mkuu hongera kwa chapisho lako....

Pia hupenda sana kujifanya wanamjua na kumpenda sana Mungu
 
Paul Kagame wa Rwanda ni dikiteta
Pierre Nkurunziza wa Burundi ni dikiteta
Joseph Kabila wa Jamuhuri ya Muungano ya Congo ni dikiteta
Endelea kuorodhesha ili wajulikane tuwaombee ili wafe kidikteta.
Pombe Magufuli John ni dikiteta, MMM kamaliza kila kitu. Kuna Muogo na kupenda masifa kama JPM?? Je mnakumbuka Makanikia?? Zilikuwa mbwembwe kibao kwenye matv, Je mwisho wake !! Aibu
 
Mzee Mwanakijiji bado unalikumbuka hili andiko lako? Naaam basi andiko lako limetimia na linaishi...

Nimelisoma ikabidi nirudi nyuma kuangalia uliandika lini haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…