Madikteta wote duniani hufanana

Inaonekana watu hawashindwi kuwatambua madikteta; Kitila umesema point moja muhimu sana. Madikteta wanahofia sana intellectuals vile vile. Lakini upande mwingine kundi la wasomi hujitengeneza kama watetezi wa madikteta hao.
He!!!!!!!
 
Na madikteta wote huwanyima Raha wake zao na hata watoto
 
Sifa yao ingine ni kwamba huhakikisha watu wote wenye uwezo hawapati nafasi katika fursa za uongozi wowote wala kupata kazi ya maana. Wakishindwa kabisa kuwakwamisha, huwafunga na/au kuwaua!

Duh bado ana uwezo wa kutamka maneno haya leo???.
 
Mwanakijiji ulitabiri na ukashiriki kumleta kumuingiza dikteta
 
Duh! ... Mwanakijiji pitia huu uzi wako tena. Everything you said in this post sounds like your messiah Magufuli. Although he is not on the extreme side of the spectrum of dictatorship yet, he seems to be headed there.
 
Amekengeuka, nasikia ni msukuma, kwa hiyo kwa vile homeboy kawa madarakani. yeye si dikiteita!
 

Mzee Mwanakijiji najua leo unatamani kuifuta hii post. Lakini ndio hivyo hakuna namna ni kweli Madikteta wanafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…