Madikteta wote duniani hufanana

Na sasa bado shemeji anatamba korido zile zile kapigiwa pande na rimoti kuongoza tume batili ya kuchunguza vurugu na sio mauaji na katika tume hiyo iliyoundwa na muuaji bado ina muuaji ndani yake pia.

What a time to be alive.
 
Halafu utakuta majina yaleyale...
 
Inaonekana watu hawashindwi kuwatambua madikteta; Kitila umesema point moja muhimu sana. Madikteta wanahofia sana intellectuals vile vile. Lakini upande mwingine kundi la wasomi hujitengeneza kama watetezi wa madikteta hao.
Na sasa Kitilia Kawa mmoja wa wasomi ambaye ni mtetezi wa Dikteta Samia hata baada ya mauji makubwa ya watanganyika wenzake.
 
Halafu utakuta majina yaleyale...
Ndio ni yaleyale na wanakwenda kufanya tulichozoea au tutakachotarajia ndio wataleta mfano.

Hiyo tume itakuja na ripoti kwa kusema wananchi walichoma vituo vya polisi na kuiba bunduki na ndio zilitumika kupiga watu risasi mtaani, ilhali ukweli tunaujua.
 
Aisee uchambuzi unaoishi
 
Hili andiko linaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…