No comment 😭Kwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni wala rushwa naye hataki kutoa rushwa ndiyo msishangae wakina Mama wali punic kwasababu hawajajipanga bado kujua manufaa yao binafsi ya mradi huo maana kila kitu kwao ni deal!
Kilicho mkuta mtwr anaota mpaka sasaKwani hajamtuma mshauri wake na mbeba mikoba mama kizigha kwenda kumuimbisha Dangote?
Huyo Magu alishamshtukia.Kwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni wala rushwa naye hataki kutoa rushwa ndiyo msishangae wakina Mama wali punic kwasababu hawajajipanga bado kujua manufaa yao binafsi ya mradi huo maana kila kitu kwao ni deal!
Akili ndigo kuongoza akili kubwa ni shida sana.Kwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni wala rushwa naye hataki kutoa rushwa ndiyo msishangae wakina Mama wali punic kwasababu hawajajipanga bado kujua manufaa yao binafsi ya mradi huo maana kila kitu kwao ni deal!
Tanga Iko more strategic kuliko Mombasa labda kama anatarget soko la Kenya tu, ila kama anatarget soko la Africa Mashariki Tanga ni Eneo sahihi sana
Tajiri ameshindwa
Kuna watu uelew wao bado ni mdogo sana including wewe. Ni nani mwenye akili timamu akawekeza Tanzania, nchi isiyokuwa na demokrasia, hakuna uhuru wa habari, watu wanatekwa, sheria zinavunjwa wanavyotaka, rushwa etc. Hakun mtu atakayefanya upuuzi wa kuwekeza ata kama Tanzania ni strategic areaTanga Iko more strategic kuliko Mombasa labda kama anatarget soko la Kenya tu, ila kama anatarget soko la Africa Mashariki Tanga ni Eneo sahihi sana
Timu yenu ya wanaharakati wa chadema wakiwemo maria sarungi,Hilda Newton,kwa uzushi hamjamboKwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni wala rushwa naye hataki kutoa rushwa ndiyo msishangae wakina Mama wali punic kwasababu hawajajipanga bado kujua manufaa yao binafsi ya mradi huo maana kila kitu kwao ni deal!
Ameona isiwe shida, ahamishe mahali atakuwa salamaSarakasi alizokutana nazo kwnye kiwanda cha cement anajua yeye na mungu wake kuna muda alitamani akibebe akihamishe yani, nafikri anafikiria huo mtiti atakaokutana nao kwa wanaotolea macho trilion 47, wanaotaka watajirike burebure kbla hata uzalishaji haujaanza