Hivi?inakuwaje Tanzania tuwe na reslmali kama madini na almasi.na bado nchi iwe maskini?mbuga,milima,bandari,nk.hivi vyote hela zake zinafanyia kazi gani hasa.
hela zake wanakula wajanja wachache wanaosomesha watoto wao je ya nchi na wao kupata matibabu na huduma nyingine nje ya nchi huku watanzania wakiendelea kula mlo mmoja na watoto wao wakisomea chini kwenye vyumbi huku kukiwa na uhaba wa vitabu na walimu pia inasikitisha sana