Mkushi Mbishi JF-Expert Member Joined Sep 30, 2018 Posts 332 Reaction score 549 Jan 13, 2021 #1 Wakuu habari ya asubuhi, Hili jiwe ni aina gani, lina rangi ya kijani, ni duara kama goroli ukilipiga mwanga ndani kama lina majimaji na linatoa mwanga wa kijani. Je ni madini,ama ni goroli ya aina gani? Wataalam mnaojua mambo haya mnifafanulie.View attachment 1676328View attachment 1676329View attachment 1676331
Wakuu habari ya asubuhi, Hili jiwe ni aina gani, lina rangi ya kijani, ni duara kama goroli ukilipiga mwanga ndani kama lina majimaji na linatoa mwanga wa kijani. Je ni madini,ama ni goroli ya aina gani? Wataalam mnaojua mambo haya mnifafanulie.View attachment 1676328View attachment 1676329View attachment 1676331
SHEDEDE JF-Expert Member Joined Feb 6, 2021 Posts 339 Reaction score 551 Feb 22, 2021 #2 Wachimbaji wameingia mitini wanaogopa kubambikwa kodi wakichangia uzi