Madini haya (germstone) ninayo ,niunganisheni tafadhari

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Waungwana mimi nina eneo langu aeneo ya malagalasi yanapatikana haya madini ,ninaomba mwenye contact za wahusika serious niwasiliane nao kwani niliwahi mtumia jamaa mmoja sample akaipima tukafanya biashara ila akapotea hadi leo .eneo langu linazo nyingi nikitaka nichimbe ila nataka nijihakikishie mnunuzi wa uhakika.
 

Attachments

  • germ1.jpg
    6 KB · Views: 216
  • germ2.jpg
    7.4 KB · Views: 213
ni aina gani ya gemstone? Huwezi uza kama hujui hata ni aina gani na ubora wake ni upi. Gharama za uchunguzi lazima zikuhusu ili ujue utauzaje.
 

Ni aina gani?
 

Ok nipatie contacts zako, tuwasiliane tuchukue sote samples twende maabara Dar es Salaam, then baada ya hapo tunaweza jua where to start with, number yangu ni 0682 338065
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…