ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
Habari wakuu
Naomba mwenye ujuzi kuhusu biashara ya ununuzi wa madini ya sapphire na ruby yaani ublocker na ushauri kuhusu uchimbaji wake..e.g vifaa na ufundi wa ziada
Nawasilisha