Madini ni yetu, nani katukataza kuyachimba wenyewe?

ruby garnet

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
2,869
Reaction score
3,852
Habari wana JR mimi huwa najiuriza swala moja " nyerere alifunga migodi ya madini enzi zake na kusema tutasubili watanzania wapate elimu juu ya madini haya waje wachimbe wenyewe". je hadi sasa bado wasomi wa elimu juu ya utafiti wa madini(mineral exploration) , wachimbaji(mining) na wachenjuaji wa madini (mineral processing) bado wahajapatikana?. na kama wapo ni kwa nini hatuchimbi wenyewe?. au wasomi wetu kwa ajiri ya kamati za kukagua mankotena ya mchanga wa dhahabu ya wazungu?. nikitafakari wizara ya nishati na madini inakitengo kinaitwa stamiko mbona hatuwasikii wao wanachimba kama kweri Tanzania kunamadini mengi?.
Naombeni msaada wa mawazo maana sielewi hii mantiki ya kuwa watanzania ni matajiri wa madini lakini ni masiki kana kwamba kuna taifa limetukataza kuchimba wenyewe na kwenda kuuza tukapata pesa tukaachana na umasikini huu.
 
Hata mkeo ni wako lkn unasaidiwa kuchimba sabab huna nyenzo imara sembuse nchi
 
Hata mkeo ni wako lkn unasaidiwa kuchimba sabab huna nyenzo imara sembuse nchi
mkuu tatizo nyenzo au pesa?. nyenzo zipo wazi madukani kwa yeyote anayetaka kununua anaweza kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…