Madini tukutane hapa

Madini tukutane hapa

Ruby Morogoro

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
161
Reaction score
83
Nimeona wajasiriamali tukutane hapa kwa kubadirishana mawazo juu ya madini ya aina mbalimbali. Ni kwa kuuliza maswali, kurusha picha za madini, kupeana ushauri, kujenga mtandao, masoko, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • tapatalk_jpeg_1503117427013.jpg
    tapatalk_jpeg_1503117427013.jpg
    79.2 KB · Views: 337
  • 255714366915.jpg
    255714366915.jpg
    72.8 KB · Views: 401
Duuuh niwah seat za mbele sio kwa umbumbumbu nlio nao juu ya biashara ya madin zaid ya kuskia yakitajwa kwa majina tu
 
Katika biashara zinazokula pesa na zinazohusisha ushirikina ni hizi

invest what you are willing to lose
 
Katika biashara zinazokula pesa na zinazohusisha ushirikina ni hizi

invest what you are willing to lose
zinakula pesa kwa sababu zina risk kubwa na vile vile zinareturn kubwa. mambo ya ushirikina ni kwa sababu ya uelewa mdogo but kwa yeyote anayejua madini hakuna ushirikina unaohitajika ili kuyapata
 
Uzi mzurii mkuu .....swali ni kuwa
Kati ya ruby ya mahenge na ile ya longido ipi ipo poa yaan gem quality???
Upatikanaji wa ruby hasa ya mahenge iko kimfumo gaani???
Je ukiipata ruby cabochon kuna uwezekano wa kupata gem quality ruby mahali husika ??
price ya rough moonstone gem quality ni ngap kwa carat
 
ile ya mahenge ina jina la spinal ni madini ghali sana kwa sasa hivi mfanowe kama yale yanapatikana msumbiji!spino ilipata thamani baada ya crown ya malkia wa uingereza kufanyiwa ukarabati ikajulikana kwamba yale madini yaliyopo pale ni spino na sio ruby ya thamani kubwa!kumbe crown ya malkia pia ilichakachuliwa!hivyo ikabidi spino ipewe thaman kubwa zaidi ya tanzanite

my game,my rules
 
Unamaanisha red spinel mkuu...ni kwel znafanana sana..ina maana bei ya red spinel inashahabiana na bei ya ruby??
 
Je mtu yeyote anayemfahamu mteja wa marble?[[
 
Attachments

  • 20171001_154448.jpg
    20171001_154448.jpg
    59.7 KB · Views: 190
  • 20171001_154433.jpg
    20171001_154433.jpg
    62 KB · Views: 125
ile ya mahenge ina jina la spinal ni madini ghali sana kwa sasa hivi mfanowe kama yale yanapatikana msumbiji!spino ilipata thamani baada ya crown ya malkia wa uingereza kufanyiwa ukarabati ikajulikana kwamba yale madini yaliyopo pale ni spino na sio ruby ya thamani kubwa!kumbe crown ya malkia pia ilichakachuliwa!hivyo ikabidi spino ipewe thaman kubwa zaidi ya tanzanite

my game,my rules
mkuu mahenge ipo spinal na ruby pia. maeneo ya lukande ilikuwa inatoka ruby. but maeneo ya empanko ndiyo sipinal.
ruby na spinal ni sawa na wamujomba wa shangazi. spinel ni Mgal204 but ruby ni Al203. zinafanana kwa kiasi hadi mazingila ya upatikanaji wake.
 
Katika biashara zinazokula pesa na zinazohusisha ushirikina ni hizi

invest what you are willing to lose

Jane

Umesema kweli ila lazima ujue biashara nyingi sana nje ya madini watu wanajihusisha na ushirikina hujawai sikia,
Sema kwa hili la madini halina kificho ni waziwazi

KARIBU
 
Shukran kwakukubaliana na mm

Hongera Janekwa kuwa muelewa.
Pia kwa nyongeza si biashara ya kuikimbia fursa ipo kila mahali kunakina mama arusha wanafanya biashra kama hiyo wanakuwa watu wa kati na wanapata pesa nyingi sana.

Karibu
 
MASHINE YA UPEPO MGODINI KWAKO: Je, una mgodi au ninyi ni wachimbaji wadogo wadogo mko kwenye uzalishaji lakini mnakabiriwa na changamoto ya ukosefu wa mashine ya upepo kwa ajili ya kuchoronga miamba (compressor)? Tuwasiliane haraka ili tufanye kazi kwa pamoja. Piga tel:0779000097
 
Back
Top Bottom