Ruby Morogoro
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 161
- 83
zinakula pesa kwa sababu zina risk kubwa na vile vile zinareturn kubwa. mambo ya ushirikina ni kwa sababu ya uelewa mdogo but kwa yeyote anayejua madini hakuna ushirikina unaohitajika ili kuyapataKatika biashara zinazokula pesa na zinazohusisha ushirikina ni hizi
invest what you are willing to lose
Si wana sema.wanauvuta mwamba.ndo,maana uwa wanatoa kafarazinakula pesa kwa sababu zina risk kubwa na vile vile zinareturn kubwa. mambo ya ushirikina ni kwa sababu ya uelewa mdogo but kwa yeyote anayejua madini hakuna ushirikina unaohitajika ili kuyapata
siyo kweri hiyo. uelewa tu mdogo. hakuna njia ya kuuvuta mwamba mkuu
Vipi zile ishu za kupigana visu.ukipata mali?siyo kweri hiyo. uelewa tu mdogo. hakuna njia ya kuuvuta mwamba mkuu
hizo habari za zamani sana. siku hizi mambo yanabadilika kabisa. ubabe haupo tena. sasa shughuli hizi zinaendeshwa kwa ustarabu sana. habari hizo zimebaki kama story za zamani ukienda shule za boarding lazima uteswe.
ile ya mahenge ina jina la spinal ni madini ghali sana kwa sasa hivi mfanowe kama yale yanapatikana msumbiji!spino ilipata thamani baada ya crown ya malkia wa uingereza kufanyiwa ukarabati ikajulikana kwamba yale madini yaliyopo pale ni spino na sio ruby ya thamani kubwa!kumbe crown ya malkia pia ilichakachuliwa!hivyo ikabidi spino ipewe thaman kubwa zaidi ya tanzaniteUzi mzurii mkuu .....swali ni kuwa
Kati ya ruby ya mahenge na ile ya longido ipi ipo poa yaan gem quality???
Upatikanaji wa ruby hasa ya mahenge iko kimfumo gaani???
Je ukiipata ruby cabochon kuna uwezekano wa kupata gem quality ruby mahali husika ??
price ya rough moonstone gem quality ni ngap kwa carat
Unamaanisha red spinel mkuu...ni kwel znafanana sana..ina maana bei ya red spinel inashahabiana na bei ya ruby??ile ya mahenge ina jina la spinal ni madini ghali sana kwa sasa hivi mfanowe kama yale yanapatikana msumbiji!spino ilipata thamani baada ya crown ya malkia wa uingereza kufanyiwa ukarabati ikajulikana kwamba yale madini yaliyopo pale ni spino na sio ruby ya thamani kubwa!kumbe crown ya malkia pia ilichakachuliwa!hivyo ikabidi spino ipewe thaman kubwa zaidi ya tanzanite
my game,my rules
mkuu mahenge ipo spinal na ruby pia. maeneo ya lukande ilikuwa inatoka ruby. but maeneo ya empanko ndiyo sipinal.ile ya mahenge ina jina la spinal ni madini ghali sana kwa sasa hivi mfanowe kama yale yanapatikana msumbiji!spino ilipata thamani baada ya crown ya malkia wa uingereza kufanyiwa ukarabati ikajulikana kwamba yale madini yaliyopo pale ni spino na sio ruby ya thamani kubwa!kumbe crown ya malkia pia ilichakachuliwa!hivyo ikabidi spino ipewe thaman kubwa zaidi ya tanzanite
my game,my rules
Katika biashara zinazokula pesa na zinazohusisha ushirikina ni hizi
invest what you are willing to lose
Shukran kwakukubaliana na mmJane
Umesema kweli ila lazima ujue biashara nyingi sana nje ya madini watu wanajihusisha na ushirikina hujawai sikia,
Sema kwa hili la madini halina kificho ni waziwazi
KARIBU
Shukran kwakukubaliana na mm