Madini tukutane hapa

Jamani wadau vipi bei za chrome tourmaline zipoje
 
Jaman tusaidiane kitu Nataka kujua bei ya haya madini
 

Attachments

  • 15727733444901175789506.jpg
    100.3 KB · Views: 14
  • 1572773377903-1845308040.jpg
    92.1 KB · Views: 13
  • 1572773405447463087327.jpg
    77.9 KB · Views: 12
Mimi ni mweupe kabisa kuhusu madini na biashara hii kwa ujumla, mkuje wadau angalau nipate A, B, C labda itanivuta nijitose mzima mzima.
 
Ahsante kiongozi nipo kwenye mchakato wa kupata kibari cha uchimbaji mdogo kuna eneo lina madini ya kutosha tunafikiria kutafuta wabia wakufanya nao kazi tatizo fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…