Madini ya mawe

Ha ha ha ha ha hah ha ha ha na kweli mawe ya madini.
 
ok nimeyaona! ila ujue biashara ya gemstones ni ngumu sana, kuna mambo mengi sana unatakiwa uzingatie!

Mkuu unaweza kufunguka zaidi? Utakuwa msaada kwa wengine wanaotamani kufanya Biashara km hii Manake hakuna kz or bz icyo na changamoto Muhimu kuzijua mapema ili ukabiliane nazo.Karibu mkuu
 
Jamani naomba kua hayo madinigani
Kwenye picha hiyo hapo Kuna jamii ya quartz, ruby high caboshon,
Kuna amethyst, Kuna green garnet nimejibu kutokana na picha zilizowekwa! Sasa hizi picha sijui zime kuwa downloaded mahali au

Ova
 
Wataalam naombeni msaada.. Eti hili ni dini au sio dini na kama ni dini ni aina gani ya dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…