Madini ya Moon Stone yanapatikana kwa wingi Morogoro, kama unaweza kujitosa changamkia fursa

Madini ya Moon Stone yanapatikana kwa wingi Morogoro, kama unaweza kujitosa changamkia fursa

hmaloh

Senior Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
162
Reaction score
314
Hi, guys habari za weekend I hope mpo good kwa wale wenye changamoto zozote zile poleni sana ndugu zangu coz siku hazifanani.

Bila yakupoteza muda ndugu zangu Mimi ni kijana fukara ambae mara nyingi napenda kukumbilia fursa zilipo so kuna jambo fulani ningependa kushare nanyi ndugu zangu kwa maana tuliomo humu wengi wetu tutaishi below one dollar.

Ipo hivi ndugu zangu kama kuna yoyote mwenye kuyajua madini ya moon stones basi hapa home kwetu (Morogoro, Kilosa) huwa yanapatikana haya mawe tena ni yale yenyewe kabisa isipokuwa tu hawa wachimbaji wetu wahuku wamekuwa wakitumia local methods hivyo imekuwa ngumu kupata 100% gem so kama utakuwa interested na huu mchongo tuchekiane ili tule kwa pamoja cake ya taifa.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom