Madini ya ulanga

Madini ya ulanga

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habari, naomba kufahamu bei ya madini ya ulanga na website ipi ambayo inaweza ikanisaidia kuyauza kwa bei nzuri na kunipa taarifa zaidi kuhusu madini haya ya ulanga
 
una tani ngapi? je unaweza supply tani ngapi kwa mwezi? je sample yako umeshaipima SEMIC na kuonyesha contents?ni PM majibu tufanye Biashara
 
ni Colour B. kwa kilo yananunuliwaje?
 
Back
Top Bottom